Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Wamejeruhiwa watatu,magari na bajaji,vimepondeka..
pole majiruhi na wale mali zao zilizoharibiwa
Wamejeruhiwa watatu,magari na bajaji,vimepondeka..
Wamejeruhiwa watatu,magari na bajaji,vimepondeka..
kazi ya Mungu haina makosa
Hivi ina maana ukuta ule umeanguka lenyewe tu ama ni ujenzi ndiyo umechakachuliwa tangu awali?
ccm ni janga la kitaifa..
CCM imehusikaje hapo?
kazi ya Mungu haina makosa
Watalipwa na nani?Mungu ndio amedondosha UKUTA?
Wamejeruhiwa watatu,magari na bajaji,vimepondeka..