Samahani wadau lakini nimeshtushwa na yaliyotokea Ubungo ila nashangaa hapa JF sikliona hilo.Kwangu JF ndo mambo yote lakini nshangaa hili halipo
Samahani wadau lakini nimeshtushwa na yaliyotokea Ubungo ila nashangaa hapa JF sikliona hilo.
Kwangu JF ndo mambo yote lakini nshangaa hili halipo
Ni kweli, ila tatizo ni Moderators wameiondoa hiyo post lakini ilikuwepo pamoja na picha kibao. Kuna moderators wanaidhoofisha JF
Wameipeleka jukwaa la picha!
Habari inapelekwa jukwaa la picha ?
Is it logical ???? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
www.jamiiforums.com/jamii-photos/388147-ukuta-wa-kituo-cha-mabasi-ubungo-waangukia-magari-leo-asubuhi-picha.html
Umeshindwa kunijibu bila kuweka neno la MAUDHI? Umetumia a bit sarcastic word.