Ajali sasa basi

Ajali sasa basi

Lemaemmanuel

Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
18
Reaction score
28
Kati ya namba 1, 2, 3, 4 nani mwenye makosa kwa mfumo wa undeshaji wa Nchi yetu ya Tanzania.
#Ajalisasabasi
IMG_3806.jpg
 
uzi wa kipuuzi ina maana mleta mada hujui tu kma mtu aliye kushoto kwenye ueleleo wake yuko sahihi
 
No2 ndio kiazi kaovertake kwenye mstari no 3 ni hana kosa ila no2 atamsababishia balaa labda arudi nyuma ya lorr kitendo kitakachofanya abiria wammind maana itabidi kushika break za ghafla.
 
Namba 2 na 3 wanna makosa lkn namba 2 ndio ana kosa kubwa
 
2 na 3 wanamakosa.
namb 3 hata kama mstari wa kati unaonyesha unaruhusiwa kuovertake , unatakakiwa kuangalia gari linalokuja mbele yako
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Zamani Ndiyo Ilikuwa Watu Wanaendesha Tu Magari
Sasa Hivi Hutakiwi Kuangalia Una Haki
Tunahimizwa Defence Driving, Iwapo Mwenzako Kakosea Na Mnachotakiwa Kufanya Popote Ni Kuepusha Ajali!!!

Kwa Picture Yako Na Inavyotakiwa Unalipita Gari La Mbele Yako Kama Tu Usalama Upo, Hapo Hatutaangalia Mistari Inakuruhusu Ama Laa!!
Maana Mistari Tutasema Number 3 Inamruhusu Halafu Number 3 Inamkutaza

Lakini Je Ni Salama Kwa Wote
 
Back
Top Bottom