I know.. it just happen that mwezi huu wa tatu unaoisha umesikia wapi ajali nyingi za moto?
Mkuu wewe na mimi tunajuwa fika kwamba lack of evidence doesn't necessarily mean absence of evidence. Wewe na mimi tunajuwa kwamba sio ajali zote za moto duniani zinaandikwa kwenye media ambazo mimi na wewe tuna access nazo. With all due respect Mkuu, this is your lowest point in JF. Ungekuwa mwanasiasa ningesema hapa umepata "ajali ya kisiasa" (ref: JK's response to EL's resignation).
Nikikuambia kuwa hakutakuwa na ajali ya kubwa ya ndege for the next 2 months utasema nimekisia tu? (sisemi kwamba hazitakuwako)..
My friend, mbona sielewi ulichokusudia kusema hapa! Mana sentensi ya kwanza inatabiri kutokuwapo kwa ajali kubwa za ndege for the next two months, na sentensi ya kwenye mabano ina negate utabiri wa kutokuwako na ajali.
All in all mkuu naona unakosa kanuni za utabiri; kusema kwamba hakutakuwa na ajali kubwa za ndege in the coming two months SIO UTABIRI bali ni ukweli ulio base kwenye probabilities na ndio mana tunapanda ndege kila kukicha. ILA kusema kwamba KUTATOKEA ajali kubwa ya ndege in the coming two months ni UTABIRI mana unapingana na hali ya kawaida...Tena ukisema kutakuwa na ajali kubwa ya ndege LAZIMA USEME ITATOKEA WAPI na ikiwezekana shirika gani, mana husibahatishe.
I don't kama yana ukweli ninayosema au nakisia tu kwa sababu kama unayosema.. it is simply weird.
Hapana wala haukisii, bali unasema vitu ambavyo vinatokea kila dakika na kila sekunde. Wala hautabiri bali unatuambia matokeo yanayotokea. Mfano kusema kutakuwa na fujo kubwa mwezi huu sio utabiri kwani yawezekana hapa tunaposema tayari kuna fujo ambayo haija ripotiwa na kuna nyingine ambayo inakaribia kuripotiwa. Again, fujo, vita, ajali, vifo na matukio mengine vinatokea kila siku ya mungu, isipokuwa tu sio kila tukio linaelezwa. Ajali za ndege ndogo ya watu 2-4 zinatokea mara nyingi tu kwenye nchi zilizoendelea lakini dunia haiambiwi.
You haev to go back a little bit few years and you'll see if it is purely guess luck or something beyond rational explanation?
Of course few years ago is not today. It could be few years ago there were fewer planes flying, or fewer cars on the road, or fewer/more cruel people or fewer media reporting every undesirable events, etc...all these mean the past incidents can't be necessarily matched to those of present and the future.
Bottomline: ukisema kwamba rais wa marekani atakufa SIO utabiri kwa sababu kila mtu lazima afe; ukisema rais wa marekani atakufa mwezi ujao HUO ni utabiri kwasababu una beat the odds when it comes to time. Sasa ukirejea kwenye tabiri zako zote utajuwa naongea nini.