Ajali nyingine vichekesho tupu wallah

Ajali nyingine vichekesho tupu wallah

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,093
1414295442526.jpg
 
Ha!ha!ha! Huo mlango inaonekana ni wa kuengeshwa tu tunaend sasa konda akajisahau ndo yakatokea hayo ninayoyaona kunako Picha.
 
hii kitambo sana enzi za dungu...
 
Ha!ha!ha! Huo mlango inaonekana ni wa kuengeshwa tu tunaend sasa konda akajisahau ndo yakatokea hayo ninayoyaona kunako Picha.

Hizi daladala ni full majanga utakuta steering rack imefungwa na wire au springs zimefungwa na mpira
 
Hizi ni zile daladala za usiku. Madereva wake kawaida nimateja
 
Back
Top Bottom