1. Huenda si mwanga / mchawi wala mganga, bali ni mshirikina tu aliyeenda kwa mganga.... Akaambiwa avae vile na zana zile afanye mambo fulani sehemu fulani muda fulani mambo yake yatafanikiwa.
2. Huenda ni namna tu ya mchungaji tapeli kupata wafuasi hivyo wametengeneza tukio...
3. Huenda ni mwanga kweli, lakini nachelea kusema hivi kwa sababu ya mavazi na hata huo ungo...
I bet its something to do with vinyamkera na vimizimu as far as mavazi as concerned.
____
Miaka michache nyuma kuna mama mmoja alipata aibu kama hii mchana kweupeeee Mabibo Dar es Salaam!