AJALI: Ngwatta, Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Nyasa apata ajali apata mbaya

Hakuna Baja ya kuchagua ccm hali Watu huku Nyasa wanapika mboga kwa kutumia chum I iliyochujwa kwenye majivu Bali in umasikini WA kutisga.Zia Nyasa Wamewachia Malawi ccm hovyo
 
Taarifa za mchana huo, kwamba Kamanda Ngwatta amehamishia Hospitali ya LITEMBO, huko huko Mbinga, baada ya khali kutokuimalika tangu apata ajali...!
 
ee mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mlejeshee afya kamanda huyu apone haraka ili aendelee na harakati za ukombozi wa taifa hili
 
Pole zake.Lakini kwa jinsi gari hiyo ilivyobondeka bondeka baada ya kupinduka inaonyesha labda alikuwa mwendo kasi.
Si vibaya wakampima kuona kama alikuwa kanywa viroba vilivyochochea akaendesha mwendo kasi ajabu uliosababisha akapinduka.Ni ushauri tu msinirukie waosha vinywa.
Kuna jamaa waliwaovertake afu wakatoa bunduki. Katika kuwakwepa ndo Gari ikapoteza uelekeo NA kupinduka. Hiyo ajali ina harufu ya siasa. Wanaona wameshindwa hoja majukwaan sasa wameanza kusaka roho za watu. Piga geuza lazma mtoke!!!
 
Kuna taarifa kwamba Cuthbert Ngwata, mgombea ubunge Jimbo la Nyasa amepata ajali mbaya sana ya gari asubuhi hii ya leo na kupelekea kifo cha mtu mmoja katika msafara wake wa kampeni.
Taarifa zaidi tutawaleta hapa hapa...

Chadema washaanza kutoa makafara, acheni hizo bwana watu wanategemewa na familia zao nyie mnawaondoa
 
Pole kijana mwenzangu, Mungu akujalie uponyaji wa haraka urejee ktk mapambano ya kutimiza lengo lako la kuitumikia jamii.
 
Hali ya kamanda Ngwatta inaendelea vyema akiwa katika hospitali ya Litembo-Mbinga. Gari hiyo imebeba mwili wa Kamanda Pomym kuelekea nyumbani kwao Vwawa Mbozi.
 

Attachments

  • IMG-20151004-WA0041.jpg
    IMG-20151004-WA0041.jpg
    54.1 KB · Views: 419
  • FB_20151004_22_28_58_Saved_Picture.jpg
    FB_20151004_22_28_58_Saved_Picture.jpg
    24 KB · Views: 414
Hali ya kamanda Ngwatta inaendelea vyema akiwa katika hospitali ya Litembo-Mbinga. Gari hiyo imebeba mwili wa Kamanda Pomym kuelekea nyumbani kwao Vwawa Mbozi.

Poleni sana wafiwa na nawatakia afya njema majeruhi
 
Picha hiyo ya Ngwatta kidogo inaonesha matumaini na bila shaka hana internal damage...

Salamu za pole kwa familia ya marehemu...

Hali ya kamanda Ngwatta inaendelea vyema akiwa katika hospitali ya Litembo-Mbinga. Gari hiyo imebeba mwili wa Kamanda Pomym kuelekea nyumbani kwao Vwawa Mbozi.
 
Tunatoa salamu za rambi rambi kwa ndugu na jamaa wa mfiwa. Ndugu zangu wana harakati tuweni makini sana kwenye mabara bara haya tunayopita na magari yetu kwani kipindi hiki si kipindi kizuri sana. Tusiwe na haraka katika uendeshaji wa vyombo vyetu vya usafiri. JOKA linatoka na upepo mbaya. Tumtangulize Mungu ktk safari yetu hii ya matumaini ili aweze kutufikisha ktk nchi ya AHADI.
 
Back
Top Bottom