AJALI: Ngwatta, Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Nyasa apata ajali apata mbaya

Ngwata anagombea kupitia CHADEMA, anashindana na Eng. Stella Manyanya wa CCM.
Hili ni Jimbo la marehemu Komba..., liko mkoa wa Ruvuma

mungu atampa ahueni na marehemu mungu amlaze mahali pema peponi.ninachomuomba kamanda asiwe na wazo juu ya kampeni kwani hata akiwa hana miguu kura yake ataikuta ukawa,sie hatuangalii jina wala chama,ukawa,ukawa...........mabadiliko.
 
@Moderators!
Tunaomba heading ya taarifa hii iwe UNCORFIRMED mpaka pale wahusika watakapokuja kuthitisha na isomeke hivi " MGOMBEA UBUNGE (CHADEMA) JIMBO LA NYASA APATA AJALI YA GARI"
 
Kipindi hiki wagombea wasiachiwe waandeshe magari madereva wadhibitiwe na mwendo kasi ili kuepuka ajali zisizo za lazima
 
Mpk ikifika tar25 tutapata majanga mengi nchii watu wanaacha kumwaga Sera wanarogana ili jimboni awe pekeyake.

Tanzania ushirikina inaongoza na huu ndio msimu Wa waganga wengi sana. Kiukweli hata kwenye bunge lijalo litakuwa limejaa majeraha.
 
Pole zake.Lakini kwa jinsi gari hiyo ilivyobondeka bondeka baada ya kupinduka inaonyesha labda alikuwa mwendo kasi.
Si vibaya wakampima kuona kama alikuwa kanywa viroba vilivyochochea akaendesha mwendo kasi ajabu uliosababisha akapinduka.Ni ushauri tu msinirukie waosha vinywa.
 
Stella Manyanya sio mtu wa mchezo, kajidhatiti kushinda ubunge wa jimbola Nyasa kwa gharama zozote na mbinu zozote.

R I P John Komba
G W S Cuthbert Ngwata
 
Pole zake.Lakini kwa jinsi gari hiyo ilivyobondeka bondeka baada ya kupinduka inaonyesha labda alikuwa mwendo kasi.
Si vibaya wakampima kuona kama alikuwa kanywa viroba vilivyochochea akaendesha mwendo kasi ajabu uliosababisha akapinduka.Ni ushauri tu msinirukie waosha vinywa.

Mkuu pale alipopatia ajali pana kona kali sana halafu ni milima mikali na ya mikunjo mikunjo inaitwa Ambrosi, naweza kuifananisha kidogo na ile ya LYAMBA LYA MFIPA kule Katavi.
 
pole sana mgombea Mungu akuponye urejee kwenye kampeni maana sisi hatutaki ushindi wa mezani tunata ushind wa dakika 90.
 
@Moderators!
Tunaomba heading ya taarifa hii iwe UNCORFIRMED mpaka pale wahusika watakapokuja kuthitisha na isomeke hivi " MGOMBEA UBUNGE (CHADEMA) JIMBO LA NYASA APATA AJALI YA GARI"
Wahusika gani unaomaanisha?
CHADEMA? AU TUME YA UCHAGUZI?
 
Pole an kamanda,ili kufikia ukombozi wa kweli mitihani kama i haiepukiki,get well soon,jumbo no lako huyo mmama was mipasho hana msaada kwa taifa
 
Back
Top Bottom