Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
Gari aina ya Canter lenye namba za usajili T 798 CNF lililokuwa linatoka Morogoro kwenda Moshi limegongwa na Lori aina ya DAF lililokuwa linawaovertake Magari manne sasa hawaelewi kilichotokea ila bodi ya Lori ikawagonga na wao kuanguka.
Kwa sasa wapo Mazimbu Hospitali Morogoro wakipatiwa matibabu.
Ajali imetokea Bwawani Morogoro.
Kwa sasa wapo Mazimbu Hospitali Morogoro wakipatiwa matibabu.
Ajali imetokea Bwawani Morogoro.