Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
Chachu Ombara ni ajali gani inafuatia?
Airforce one
Uchaguzi mkuu huu safari hii hatari wamehama toka kwa albino wameingia ktk ajali
Hujasikia ya kifusi Kahama? Nayo ni ajali.Chachu Ombara ni ajali gani inafuatia?
Chachu Ombara unatisha kwa taarifa za ajali + picha
Swali la kizushi hili..Chachu Ombara ni ajali gani inafuatia?
Nyingine imetokea leo ugulilo ikihusisha basi la simba mtoto na lori aina ya scania. 9 wamefariki dunia. Ee Mungu tuokoe na hizi ajali
Nyingine imetokea leo ugulilo ikihusisha basi la simba mtoto na lori aina ya scania. 9 wamefariki dunia. Ee Mungu tuokoe na hizi ajali
Chachu Ombara ni ajali gani inafuatia?