Ajali Mbugani

Ajali Mbugani

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,107
Reaction score
1,249,096
Fuso lagonga na Kuua Twiga Mwenye mimba
59541581_340574056660619_5316506024679922228_n.jpg

Muhimu kufahamu ukigonga mnyama mbugani faini zake

TEMBO = USD 15,000 ~ mil 34.6 NYATI = USD 1,900~ mil 4.3 SIMBA = USD 4,900~ mil 11.3 CHUI = USD 3,500~ mil 8 TWIGA = USD 15,000~ mil 34.6 FISI = USD 550~ mil 1.2 NGIRI = USD 450~ mil 1 NYANI = USD 110~ laki 254 PUNDAMILIA = USD 1200~mil 2.7 SWALA = USD 390~ laki 9 ukipata ajali ndani ya mbuga Tsh 200,000 ukizidisha mwendo faini yake ni Tsh . 30,000/= . .

Ni muhimu kua na tahadhari uingiapo au upitapo mbuga nyingi

Day speed ni 70km/h na Night speed ni 50km/h.

Kwa wale mnaommchukulia poa Fisi Angalia pesa utakayolipaa baada ya kumgonga ...
 
Ishakula upande wao shaur yenu mimi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenu
Na tunapambana kweli, leo bado kidogo nigonge kundi la Nyani waliokuwa wamejipanga barabarani.
 
Hapo naona ni hiyo faini ya speed ambayo ni 30000
Tatizo linaanzia hapo, faini ya speed ingetakiwa iwe 500,000 kwenye hifadhi naona hata chura wasingemgonga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom