Yule twiga aliyegongwa na Mwigulu anaendeleaje?
UnazikwaJee nikifa?
Haiwezekani kuyamaliza kihivyo ishu ishakuwa publik inafwatiliwa wizani washaweka mtegoNapita mikumi kila wiki,kufikia kugonga mnyama mpaka gari kuharibika hivyo ni uzembe wa hali ya juu,na inaonyesha dereva alikuwa speed ya juu ya limit.hapo lazima milion 35 itoke,labda wayamalize "kiutu uzima"
Dah! Basi kaisha huyo dereva.Haiwezekani kuyamaliza kihivyo ishu ishakuwa publik inafwatiliwa wizani washaweka mtego
Siyo twiga na wewe ni punda ah! Sijui alipona au kawa kitoweo maana nasikia wachina wanapenda nyama yake.Yule twiga aliyegongwa na Mwigulu anaendeleaje?
Ooh nilisahau
dereva usikwepe chochote kile kitakacho jitokeza ghafla barabarani,hayo mabangili yenu ya mikononi yanawadanganya.





Kuna neno nilitaka kusema nimeshindwa, kule selou nakwenyewe madereva wa mradi wameanza kugonga wanyama kila sikuFuso lagonga na Kuua Twiga Mwenye mimbaView attachment 1105825
Muhimu kufahamu ukigonga mnyama mbugani faini zake
TEMBO = USD 15,000 ~ mil 34.6 NYATI = USD 1,900~ mil 4.3 SIMBA = USD 4,900~ mil 11.3 CHUI = USD 3,500~ mil 8 TWIGA = USD 15,000~ mil 34.6 FISI = USD 550~ mil 1.2 NGIRI = USD 450~ mil 1 NYANI = USD 110~ laki 254 PUNDAMILIA = USD 1200~mil 2.7 SWALA = USD 390~ laki 9 ukipata ajali ndani ya mbuga Tsh 200,000 ukizidisha mwendo faini yake ni Tsh . 30,000/= . .
Ni muhimu kua na tahadhari uingiapo au upitapo mbuga nyingi
Day speed ni 70km/h na Night speed ni 50km/h.
Kwa wale mnaommchukulia poa Fisi Angalia pesa utakayolipaa baada ya kumgonga ...
Fine ni kama bureJee nikifa?