Je wajua adhabu na faini ya kugonga wanyama porini?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,463
Muhimu kufahamu kwamba adhabu na faini ya kugonga wanyamapori hifadhini
1: Tembo = USD 15,000 au shilingi Milioni 34.6
2: Twiga = USD 15,000 au shilingi Milioni 34.6
3: Simba = USD 4,900 au shilingi Milioni 11.3
4: Chui = USD 3,500 au shilingi Milioni 8
5: Nyati =USD 1900 sawa na shilingi milioni 4.2
6: Pundamilia = USD 1200 au shilingi milioni 2.7
7: Fisi = USD 550 au shilingi milioni 1.2
8: Ngiri = USD 450 au shilingi milioni 1
9: Swala = USD 390 au shilingi Laki 9
10: Nyani = USD 110 au shilingi Laki 254
11: Ukipata ajali hifadhini shilingi 200,000 na ukizidisha mwendo faini yake shilingi 30,000
Ni muhimu kuwa na tahadhari pindi uingiapo au upitapo kwenye maeneo ya hifadhi, Day speed ni 70km/h na night speed ni 50km/h.
Kuwa makini, chukua tahadhari
 
TEMBO = USD 15,000 ~ mil 34.6
NYATI = USD 1,900~ mil 4.3
SIMBA = USD 4,900~ mil 11.3
CHUI = USD 3,500~ mil 8
TWIGA = USD 15,000~ mil 34.6
FISI = USD 550~ mil 1.2
NGIRI = USD 450~ mil 1
NYANI = USD 110~ laki 254
PUNDAMILIA = USD 1200~mil 2.7
SWALA = USD 390~ laki 9
ukipata ajali ndani ya mbuga Tsh 200,000
ukizidisha mwendo faini yake ni Tsh . 30,000/=
.
.
Ni muhimu kua na tahadhari uingiapo au upitapo mbuga nyingi day speed ni 70km/h na night speed ni 50km/h.

*Kwa wale mnaommchukulia poa Fisi Angalia pesa utakayolipaa baada ya kumgonga ...*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Maxence Melo napmba unganisha uzi huu na huu
Je wajua adhabu na faini ya kugonga wanyama porini? - JamiiForums
 
TEMBO = USD 15,000 ~ mil 34.6
NYATI = USD 1,900~ mil 4.3
SIMBA = USD 4,900~ mil 11.3
CHUI = USD 3,500~ mil 8
TWIGA = USD 15,000~ mil 34.6
FISI = USD 550~ mil 1.2
NGIRI = USD 450~ mil 1
NYANI = USD 110~ laki 254
PUNDAMILIA = USD 1200~mil 2.7
SWALA = USD 390~ laki 9
ukipata ajali ndani ya mbuga Tsh 200,000
ukizidisha mwendo faini yake ni Tsh . 30,000/=
.
.
Ni muhimu kua na tahadhari uingiapo au upitapo mbuga nyingi day speed ni 70km/h na night speed ni 50km/h.

*Kwa wale mnaommchukulia poa Fisi Angalia pesa utakayolipaa baada ya kumgonga ...*

Sent using Jamii Forums mobile app
Source plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom