Ajali Mbaya

yani gari likaumia bicle bado nzima haya magari ni sawa na makaratasi eeeeeeeeee
 
Mwenye gari amegonga inabidi amlipe mwenye baiskeli.Magari ya mchina hayo yanayouzwa kwenye third world country,mjue urahisi unavyoumiza.
 
ajali hizi zitatumaliza jamani...daaah imatisha sana ..toa hii picha kwa kweli
 
Tatizo la wabongo, magari hayakutengenezwa kwa lengo la kugonga baiskeli!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…