Mkuu Crashwise ni dakika 3 zilizopita nimeiona hiyo gari hapo karibu na Ziba,daah gari ndogo imechakazwa balaa,hichi kigari kilikuwa kinakimbilia Burundi,pamoja na speed ila mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji.Poa nenda zangu Mwanza
Pole kwa wafiwa. Mleta taarifa hizi umeacha maswali mengi tu kwa wasomaji wako. Chanzo cha ajali nk, anyway santw kwa taarifa
Mkuu Crashwise ni dakika 3 zilizopita nimeiona hiyo gari hapo karibu na Ziba,daah gari ndogo imechakazwa balaa,hichi kigari kilikuwa kinakimbilia Burundi,pamoja na speed ila mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji.Poa nenda zangu Mwanzachanzo ni mvua kubwa inayoendelea kunyesha na speed ya kubwa kwa dereva aliyekuwa anaendesha gari dogo..
Mkuu Crashwise ni dakika 3 zilizopita nimeiona hiyo gari hapo karibu na Ziba,daah gari ndogo imechakazwa balaa,hichi kigari kilikuwa kinakimbilia Burundi,pamoja na speed ila mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji.Poa nenda zangu Mwanza
Mwenyenzi Mungu na awatangulie daima Best
Wale waliopatwa na mauti Bwana awape mapumziko ya milele pale shambani mwake milele na hata milele!