Head prefect
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 225
- 108
Poleni wana halmashauri na wote waliofiwa na ndugu zao kwenye ajali,RIP marehemu
Umeambiwa Usa river wewe unatuletea stori za Tengeru na Makumira! Kwanza barabara yenyewe imejaa matuta mpaka inatia hasira ukiongezea uendeshaji wa kishamba wa madereva wa Arusha.
Dah hizi ajali too much sasa