Ajali mbaya yaua eneo la Tengeru, Arusha

Kama abiria tusipojenga tabia ya kukemea nidhamu ya madereva ajali hazitakwisha.
 
Pole kwa wafiwa wote, marehem wapumzke kwa amani

Majeruhi Mungu awajaalie wepesi
 
Baada tu ya Tengeru kuelekea Makumira barabara inateleza sana. Hadi wameweka kibao ingawa wengi hawafuatilii hilo onyo. Sina hakika ajali hasa imetokea wapi.

Wapepe marehemu na Mungu awaafu mapema majeruhi.
 
Dah! inatisha poleni wafiwa, poleni mliosalimika, mungu awaponye, najua wale jamaa wa pale kama kawaida yao, kuiba kwanza kuokoa baadae..!!
 
Baada tu ya Tengeru kuelekea Makumira barabara inateleza sana. Hadi wameweka kibao ingawa wengi hawafuatilii hilo onyo. Sina hakika ajali hasa imetokea wapi.

Wapepe marehemu na Mungu awaafu mapema majeruhi.

Umeambiwa Usa river wewe unatuletea stori za Tengeru na Makumira! Kwanza barabara yenyewe imejaa matuta mpaka inatia hasira ukiongezea uendeshaji wa kishamba wa madereva wa Arusha.
 
Uendeshaji wa kishamba ukoje?
 
So sad walio kufa wamefikia 12 ! Kwakweli abiria wamekuwa wakichangia sana hizi ajali maana hata dereva akiwa ana kimbiza gari hawasemi na mmmoja akisema wana muona mjinga!

Walio kufa wamefikia 12 Source :ITV
 
Hii Barbara watumiaji wake wapo rough sana, poleni Sana wahanga.
 
Umeambiwa Usa river wewe unatuletea stori za Tengeru na Makumira! Kwanza barabara yenyewe imejaa matuta mpaka inatia hasira ukiongezea uendeshaji wa kishamba wa madereva wa Arusha.
Uendeshaji wa kishamba ndio upi we punguani ajali zinatokea mikoa yote tena Dar ndio inaongoza japo magari ni mengi huko lakini sio Arusha tu.
 
Umeambiwa Usa river wewe unatuletea stori za Tengeru na Makumira! Kwanza barabara yenyewe imejaa matuta mpaka inatia hasira ukiongezea uendeshaji wa kishamba wa madereva wa Arusha.

Mkuu umesoma uzi vema? Hakuna mahali wamesema eneo hususa. So na mm naspeculate tu.
 
Back
Top Bottom