ajali mbaya yatokea leo

ajali mbaya yatokea leo

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,970
Reaction score
13,427
Kuna jamaa ana Gari aina ya Pick up anapotoka ktk mizunguko yake huwa anampakiza mbwa wake mbele na Hboy wake nyuma basi leo akapata ajali na kufa papo hapo, ndipo Traffic ikabidi akamuulize jamaa aliyekuwepo ktk lìle gari TRAFFIC :habari yako kijana unaweza kuelezea jinsi gani ajali ilivyotokea? HOUSEBOY:He! We baada kumuuliza mbwa aliyekaa mbele unaniliza mie niliyekaa nyuma nitajuaje?
 
Hii imekaa kimajungu zaidi...si haki ya mbwa wala so called house boy kukaa mbele!
 
Back
Top Bottom