Ajali mbaya ya basi la NBS yasababisha vifo vya watu wawili na majeruji 38

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,705
Ajali hiyo imetokea maeneo ya Itigi leo Mei 1 , 2021 majira ya saa 11 jioni basi hilo likiwa linatokea Dar es salaam kuelekea Tabora.

Majeruhi wanapatiwa matibabu Hospitali ya Misheni ya Mtakatifu Gaspati iliyopo mji mdogo wa Itigi.

Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo Dkt Anatory Rukonge amethibitisha kupokea majeruhi wa ajali hiyo.

20210501_233800.jpg

Nipashe
 
Ile barabara ilivyo tamu vile, ilikuwaje?

Picha? Chanzo? Askari wanasemaje
 
Back
Top Bottom