Japo ajali haina mwenyewe ila kimsingi hawa jamaa uendeshaji wao ni hatari sana!wanakimbiza sana basi hili utadhani lina engine ya air force one!kama unajali maisha yako haya mabasi hayafai kupakia hata chembe.
Ajali mbaya ya gari iitwayo meridean ikitokea Moshi kwenda Dar imepata ajari mbaya maeneo ya kimange kwa kukatika paa la ju. Idadi ya vifo na majeruh haijajulikana
daah poleni sana
umenikumbusha ile ajali ya air msae miaka ya tisini ilikatika hivi hivi.
watu walikufa wengi.....
kwa hili meridian nawapa pole watu wa marangu rombo tarakea na wakenya wanaokuja dar kupitia mpakani.