Ajali mbaya tena Arusha leo mchana huu!

Ajali mbaya tena Arusha leo mchana huu!

Mbona haya madaraja kuanzia maji ya chai mpaka Arusha mjini yamekuwa na ajali nyingi sana mwaka huu.Huku tunapoelekea itabidi mtu ukipanda gari likikaribia darajani ushuke ukalisubiri mbele.poleni wahanga.
 
Taarifa nilizozipata zinatofautiana na zako mkuu cause inasemekana ajali iliyotokea darajani sanawari inahusisha gari aina ya Nisan NIvara na hakuna vifo vilivyoripotiwa! I stand to be corrected.
 
Tafadhali naomba mnieleze jinsi ya kusoma habari za jf kwenye simu. Nilikuwa napata habari za jukwaa la siasa,
hoja mchanganyiko, na elimu vizuri tu kwenye simu yangu ya samsung aina ya duos. Kuanzia jana 10/11/2012 nikishapewa jf nikiclick haya majukwaa napata msg page too large. Hivyo siwezi kusoma tena kwenye hii simu yangu. Nifanyeje wanajf? Mnisaidie njia kwa kuwa nikikosa kutembelea jf huwa sina raha. Network hii huniondolea stress za life.
 
Back
Top Bottom