GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,453
- 127,633
Hiyo barabara kutoka hapo Afrikana mpaka njia panda ya wazo sijui kuna kiumbe gani kimefichwa kwa chini
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa taa zinahitajika, lakini kutii sheria za barabarani nalo ni jambo la muhimu. Ile barabara imewekewa speed limit ya 50/60 (kama sijakosea,) lakini watu wanakimbia kwa speed kubwa sana na bila sababu za msingi, hata Morogoro Rd nayo ina vibao vya speed limit ya 50, lakini wanaoheshimu hilo ni wachache sana. Kwa tabia yetu ya kutokutii sheria haya majanga ni ndoto kuyamaliza. Huyo angekuwa anaenda mwendo unaoruhusiwa kisheria naamini madhara yangekuwa madogo sana pamoja na giza lililokuwepo. Anyway apumzike/wapumzike kwa Amani.barabara kati ya mwenge na tegeta usiku inaua sana na hii inatokana na giza kali kwenye njia hiyo taa zinahitajika kumwezesha dereva kuona pande zote za barabara
Afadhali na wewe umeshuhudia. Turudi nyuma, huu pia ulikuwa uzembe wa dereva na mwenye truck.Moto ulikuwa mkubwa sana...ni vigumu faya wanakuja mtu ashakuwa majiv lilipta lory la mchanga tumemuomba apige tiper amegoma kwani alikuwa na mchanga binadam tunaroho mbaya sana mwezetu anaungulia pale hata kusaidia uwezo alikuwa nao kabsa
Wewe unasema nn, wakati umeshaambiwa kile kipande kina ngongoti ana mguu mmoja, ndio asababishayo yote hayo.Afadhali na wewe umeshuhudia. Turudi nyuma, huu pia ulikuwa uzembe wa dereva na mwenye truck.
Madereva epukeni speed za hovyo. Hii Bagamoyo road magari yana spidi za hovyo sana
Walio buni road lightings hawakuwa wapumbavu.
Majira ya saa kumi na moja asubuhi kumetokea ajali mbaya sana eneo la Mbezi Beach Afrikana.
Gari aina ya Nissana xtrail au Honda ikiwa inatokea Mwenge imegonga kwa nyuma truck na kuungua hapohapo.
Kwa mujibu wa mashuhuda watu wawili waliokuwemo ndani ya gari wamefariki kwa moto wakiwa ndani.
Kwa adabu zangu sitoweza kuweka wala sikupiga picha.