Kumetokea ajali mbaya iliyouzisha magari manne maeneo ya ubungo leo asubui
watu wamejeruhiwa pia mimi ni muhanga wa ajali hiyo
mungu ni mwema tumetoka salama
ajali hiyo imetokea baada ya daladala iliyokuwa ikitokea mwenge kwenda buguruni kupaki na kupakia abiria nakutaka kuchomoka bila kuacha mangari ya mafta petol yaliyokuwa sipidi nakusababisha brek za gafla,
baada ya lori kushika brek gafla nyuma ya lori kulikuwepo na lori jingine ambapo lililigonga lori la mbele kwa nyuma,
nyuma ya lori kulikuwepo corona primio nalenyewe liligonga lori nyuma ya primio kulikuwepo scania nayenyewe ilibamiza primio kwa nyuma nakulichakaza kabsa,
magari yote ikiwemo scania yameisha na hayafai hata kwa skrepa,
chakumshangaa mungu watuwote wametoka salama ila derefa wa lori la mafta ndio haliyake ilikuwa mbaya.