Ajali mbaya maeneo ya ubungo leo asubui

mnyinda

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
277
64
Kumetokea ajali mbaya iliyouzisha magari manne maeneo ya ubungo leo asubui
watu wamejeruhiwa pia mimi ni muhanga wa ajali hiyo
mungu ni mwema tumetoka salama
ajali hiyo imetokea baada ya daladala iliyokuwa ikitokea mwenge kwenda buguruni kupaki na kupakia abiria nakutaka kuchomoka bila kuacha mangari ya mafta petol yaliyokuwa sipidi nakusababisha brek za gafla,
baada ya lori kushika brek gafla nyuma ya lori kulikuwepo na lori jingine ambapo lililigonga lori la mbele kwa nyuma,
nyuma ya lori kulikuwepo corona primio nalenyewe liligonga lori nyuma ya primio kulikuwepo scania nayenyewe ilibamiza primio kwa nyuma nakulichakaza kabsa,
magari yote ikiwemo scania yameisha na hayafai hata kwa skrepa,
chakumshangaa mungu watuwote wametoka salama ila derefa wa lori la mafta ndio haliyake ilikuwa mbaya.
 
poleni sana kwa ajali hiyo na tunashukuru kama hakuna mauti hapo. Ajali imehusisha magari gani! picha ukiweza ni vizuri zaidi, tunaomba Mungu maafa yasitokee tafadhali maana tumechoka na hizi habari
 
Kumetokea ajali mbaya iliyouzisha magari manne maeneo ya ubungo leo asubui
watu wamejeruhiwa pia mimi ni muhanga wa ajali hiyo
mungu ni mwema tumetoka salama.

poleni sana.
ila hiyo sio ajali mbaya kama ulivoeleza...!
 

Attachments

  • Ajali.jpg
    Ajali.jpg
    14.7 KB · Views: 541
poleni sana kwa ajali hiyo na tunashukuru kama hakuna mauti hapo. Ajali imehusisha magari gani! picha ukiweza ni vizuri zaidi, tunaomba Mungu maafa yasitokee tafadhali maana tumechoka na hizi habari

picha za ajali ya leo gari ahina ya primio corona uso kwa uso na lori la mafuta
 
Poleni sana mkuu,

Tunamshukuru Mungu mmetoka wazima. Mungu Aendelee kuwapa nguvu ya uponyaji.

Poleni sana kwa kujeruhiwa na mshtuko.
 
poleni sana wahanga wote ila ungefunguka zaid mjomba tujue ilisababishwa na nini na ni nini kinaendelea kwa usalama wa majeruh
 
kabla
sijakujuza ajali mbaya ni ipi jibu swali hili.
ile ajali iliyotokea pale kibamba iliyohusisha hiace na lori la mafuta
mwaka 2010
na ikaua watu wote waliokuwemo kwenye ile hiace unaiitaje?
eti watu mmechubuka kidogo tu halafu unaiita ajali mbaya?(KAMA WEWE
UNAJIITA LEGENDARY,BI KIDUDE ANGEJIITA NANI?-KUMBE HUU MSEMO UNA UKWELI!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom