barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,916
Wana jamvi,mida ya saa mbili kasoro nilikuwa natoka Ubungo kuelekea nyumbani Kinyerezi via Mandela Road,nikiwa ktk mwendo wa kawaida na familia yangu...mara mbele nikasikia mshindo mkubwa...Hamad!!!!!!!
Gari ndogo imempanda juu dereva wa bodaboda na abiria wake,tairi ya mbele ya bodaboda ilipasuka dereva wake akakosa balance,ikadondoka na gari ndogo iliyokuwa kasi ikawapanda kwa juu...Dereva wa bodaboda kafa on the stop,abiria wake ni majeruhi...Dereva aliyewapanda kapiga mafuta wala hakusimama...Ni simanzi na majonzi,mana dereva huyu ni kijana mdogo na inasadikika kijiwe chake ni hapa Mwananchi...R.I.P Dereva....Get well soon abiria
Update:Abiria nae amefariki,na maiti zipo kituo kidogo cha Polisi Tabata-Relini tayari kwa kupelekwa Amana Hospital