Ajali mbaya maeneo ya Tabata Mwananchi

Ajali mbaya maeneo ya Tabata Mwananchi

Madereva wa boda boda waende wakasome veta ili wazifaham sheria za barabaran vizur.Serikal ilikurupuka kuruhusu biashara hii bila kujiandaa kabisa.
 
tumeondoa kodi kwenye bodaboda fanyeni biashara vijana Hapo ndo nilikuwa napataka tatizo la haya mabodaboda yanaingizwa tu nchini bila utaratibu na mamlaka husika isipochukua tahadhari nchi yetu siku za usoni itakuwa na raisi mwenye mguu mmoja, mbunge mwenye mkono mmoja,mjumbe asiye na miguu wapi tunaelekea jmn?? nenda znz km utaona pkpk za kichina, jitu limepata pesa za urithi kesho linaenda k.koo kununua pkpk eti nae boda boda?? aya bana!

tatizo sio bodaboda ni watu wanaoendesha bodaboda.....mfano ni "guns dont kill people,people kill each other"....put a gun on the table,will it kill???tumeruhusu wafanye biashara sasa wameamua kuendesha kama mad dogs....mbaya zaidi wewe mpanda bodaboda umekaa nyuma unachekelea kifo chako au ukinusurika ulemavu waja.
 
Back
Top Bottom