Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
RIP dereva na abiria
Hawa madereva wa bodaboda wana leseni kweli? Wanajua sheria za barabarani?
R.I.P Abira na dereva
Poleni sana.
Na njia hiyo lazima upite kwa mfojo kwenye mishkaki na rasta wangu anaependa kusimama kwenye daraja baina ya segerea na kinyerezi. na fimbo yake