Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

Kwanza Bodaboda utasema wako juu ya sheria hata taa za Barabarani hawaziheshimu Sheria hawazifuati wengi Leseni hawakati ni kero kubwa kwenye Mabarabara.
Sasa ufanye jambo ambalo yeye anahisi umekosea uone matusi yao.

Sehemu nyingine barabarani, wengine wanapita kulia kwako wengine kushoto kwako kwa pamoja, ukimkwepa wa kushoto, unamsababishia ajali, alie kulia kwako.
 
Mimi juzi nilikuwa naenda Msasani kidogo wanisababishie ajali Polisi kwenye wiki ya nenda kwa usalama wawe wanatoa elimu kwa hawa jamaa.
 
huwezi kujua chanzo cha ajari, huenda kuna bodaboda alikatiza akasababisha yote hayo.
Inawezekana lakini asilimia 90 ya madreva wa malori ya mchanga ni wendawazimu barabarani, nenda ile barabara ya kilwa , usiku wanapokuwa wanafanya kazi zao, ukaone uendeshaji wao, na ilifikia hatua mkoa wa pwani polisi waliyapiga marufuku kuendeshwa baada ya saa 12 jioni!!kwani wao usiku ndio wanafanya kazi kukwepa foleni, mtu ana order kama 12, ni hizo lazima kufikia saa 12, alfajiri awe amemaliza zote, ambapo serikali imeamka, unategemea nini?!!
 
Scania MABUA.
hao uwa wanajifanya Wana haraka Sana.
Mimi nasemaga boda boda akipata ajali,wenye mascania ya mchanga wakipata ajali,
Wenye mabasi ya mkoa wakipata ajali Wala SIHUZUNIKI.
Inawezekana ipo siku hata wewe utapata ajali ukiwa kwenye bodaboda au bus labda tu kama Kuna mikataba umewekeana na Mungu ndo unaweza kuwa na uhakika wa maisha yako
 
Kuna hawa wenzao wanaopakia cement njia ya Mji Mwema mpaka Kimbiji. Wasenge sana pia.

Kuna hawa wengine wa mabus ya mikoani yanapita barabara ya bagamoyo wahuni sana kazi yao kutanua tu bila kuangalia usalama wanajiona barabara ni yao.
 
Kuna hawa wengine wa mabus ya mikoani yanapita barabara ya bagamoyo wahuni sana kazi yao kutanua tu bila kuangalia usalama wanajiona barabara ni yao.
cha kushangaza sisi abiria tunatulia tuliii.
 
Back
Top Bottom