Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

Hata tukisubiri chanzo lakini haiondoi ukweli kwamba madereva wa malori Wana roho za kinyama Sana barabarani.
Sikubishii wala kukupinga mkuu!

Yapo makosa kadhaa yanayofanywa na madereva wachache wasiokuwa wastaarabu..

Lakini pia kama madereva wa malori wakiamua kufumbia macho makosa ya watumiaji wengine wa barabara, ajali zenye kuogofya zitakuwa maradufu!!

Just respect truckers back as they respect you!!
 
Siyo magari ya mchanga tu...hii barabara inachinja kila kukicha lakini sioni jitihada zozote kupunguza au kuzuia ajali...barabara ni pana haina kuta za kutenganisha njia na hata taa za barabarani ...njia za wavuka kwa miguu haziheshimiwi kiukweli hakuna siku inapita bila mtu kuuawa hii ni hatari.something must be done
Jitihada:Sasa wanaweka taa za kuongoza magari
 
Scania MABUA.
hao uwa wanajifanya Wana haraka Sana.
Mimi nasemaga boda boda akipata ajali,wenye mascania ya mchanga wakipata ajali,
Wenye mabasi ya mkoa wakipata ajali Wala SIHUZUNIKI.
 
USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE.

R.I.P kwa waliotutoka.
ila kiukweli waliotoa ramani ya hii barabara walitakiwa waweke vivuko vya watembea kwq miguu viwe vya juu au chini ya barabara, kigoma kuna ujenzi wa namna hii na unashangaa hwa enginears wa huu mradi hawakuwa na uzoefu na jamii yetu ambayo haijastaarabika na utumiaji wa hii barabara!!?

Kiukweli hii barabara watu kugongwa au magari kugongana namna hii haitaweza kuisha ikiwa udhibiti hautakuwepo kwa muda wote na hii yote inakuja kwa sababu jamii yetu haina ustaarabu iwe ni watembea kwa miguu,madereva wa magari,bajaji na bodaboda, hili kundi la bodaboda na bajaji ni moja ya zao hatari la madereva wa hovyo hovyo huko barabarani na udhibiti wao ni kama unaonekana umekuwa mgumu.



tutaendelea kulalamika saana lakini kitu cha msingi ni elimu ya usalama barabarani itolewe kuanzia darasa la tatu huko mashuleni ili kujenga jamii yenye kujielewa na ustaarabu huku barabarani.
 
Hawa madereva wa malori ya mchanga ni wasenge sana hua wanajiona Ile migari haiwezi pata ajari wakaumia walishanikosa kosa sana barabarani kwa ubabe tu sasa R.I.P kwa wale tu kwenye daladala ila hao gari la mchanga waende motoni shenzi zao hao
... ila madaladala nao ni wapuuzi sana! Yuko kituoni anasubiri hadi gari inayokuja nyuma imemkaribia ndio anaingiza gari yake barabarani tena very slowly na dharau nyingi! Funny enough, anarudi tena hapo hapo kituoni; huwa siwaelewi. Most likely, kwa eneo tajwa, chanzo cha ajali kitakuwa hicho!
 
kiujumla madereva wa magari makubwa ya mizigo huwa wana upumbavu mwingi barabarani, yani huwa hawajali kabisa magari madogo, yani mtu anakuchomekea hvi hvi anajua lazma utampisha tu, au anakata kona kiholela bila kuangalia kama kuna gari nyingine inakuja, kuna siku nimeshuhudia likiingong RAV4 pale tabata mataa hivi hivi kimakusudi
 
Back
Top Bottom