Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

Kuna wakati naona serikali ifike hatua kuruhusu hizi gari za michanga kuzidi tani 3.5 ziwe zinafanya kazi kuanzia saa3 usiku hadi 10 alfajiri.
Aisee mzee hiyo ni copy and paste designer amelipwa kubadili rangi tu.

WCB kwa copy n paste hawajambo kwa kweli lol,

Hayo malori ya mchanga yanaendeshwa spidi sana..........

Mkuu kama hujawajua hao wanaoendesha vipisi vya mchanga fujo za boda anasubiri. naishi mazingira hayo kuanzia Maili1 hadi Temboni ajali nyingi ni za hawa wa malori ya mchanga kusababisha

Madereva wa magari ya mchanga hawana tofauti na bodaboda
... nadhani mlikusudia gari/lori za kokoto na sio mchanga. Mara nyingi njia hiyo gari za mchanga ni fuso ambazo siku hizi zina adabu barabarani! Gari iliyohusika katika ajali hii na (gari nyingine za ukubwa huo) ni ya kokoto kutoka Msata.
 
Hawa wa malori ya mchanga wafungiwe speed limit ya 50 km/ h. Ni wahuni sana mwendo wao ni wa kihuni .
Wahusika liangalieni hili kwa umuhimu wa kipekee.
Hata njia ya bagamoyo kuja mwenge wanafanya mambo ya Ajabu sana utakuta anakimbia 80 kms/h mpaka 100 kms / h wakati mbele yake kidogo kuna magari , hana akili ya kumwambia hio gari inaweza kusimama gafla , au tatizo la ufundi kutokea gafla .
 
Barabara ya Morogoro road Kuna uvunjifu Sana was sheria za barabarani

Pale round about ya kimara mwisho,Kama unatokea mbezi ukitaka kuzunguka mzunguko kwa kufuata sheria hakuna dereva atakupa chance

U turn ya kwa msuguri napo NI shida Kama unataka ku cross kwenda upande wa Hospitali shida sanaaa hi barabara
 
Boda boda ndo "WABEBA LAWAMA WENU"
Screenshot_20220105-160000_Edge.jpg

kutokana na hii picha ndio maana nimefikiri hivyo.
 
Back
Top Bottom