Ajali mbaya: Lori lagonga treni Manyoni, Singida

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,057
7,609
Ni muda huu maeneo ya Manyoni round about kwenye crossing point Lori limesombwa na treni yenye kokoto kwa nyuma, lori limevutwa kama 200m hivi ndio likasimama.

Waliokuwa kwenye lori wametupwa kando huku wengine wakiwa wanawaka moto.

Sijaweza kuchukua picha maana tulikiwa mbali kidogo.
 
Sie tulikuwa kwenye basi na lilisimama kwa muda mfupi sana lakini kuna raia waliokuwa jirani walijaa fasta mkuu. Ni mkoani Singida eneo la round about Manyoni
 
Mwalimu Nyerere ni kiboko gari inagonga treni...poleni waathirika wote wa iyo ajali...
 
Ni kweli, cheki hapo
1461161031727.jpg
 
Back
Top Bottom