Ajali mbaya loliondo;tunaomba msaada wenu!!

Ajali mbaya loliondo;tunaomba msaada wenu!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,241
katuni%2Bmajira%2B15.3.11.jpg
 
waanandoa mseme ukweli mnapoenda Mungu anafanya njia pasipo na njia msijekutana na wake zanu uko babu hana soln ya ndoa zaidi ya magonjwa yenu
 
Mkuu pdidy ulivyosema ajali nilistuka!!
Nilijua labda ajali ya gari ambayo imekost maisha ya watu, kumbee!!
 
mkuu kicha cha habari kimenishtua, wengine tuna ndugu zetu wameenda huko kupata kikombe kwa Babu.
 
Mkuu pdidy ulivyosema ajali nilistuka!!
Nilijua labda ajali ya gari ambayo imekost maisha ya watu, kumbee!!

MKUU NDiba
hiyo n mbaya zaidi kumbuka hapo akuna tena kuaminianabra..yaani kurudi na kuaminiana tena ni simulizi mungu atusaidie
 
mmmh, nikadhani mafuso yamegongana. Thenx for funny, lakini kwa waliopata hizo ajali siyo funny, ni ajali kweli, ajali ya nafsi mbaya sana.
 
kweki kazi ipo wabongo washasahau dowans

Harufu hiyo inanukia. Wote macho kule baada ya mabomu. Sasa akitoka babu sijui nini kitakuja. Nitabiri, utabiri wa shehe yahaya. Tanzania kwa breaking news! Sasa EPA kishakufa masikini, Dk wa ukweli Slaa akirudia wanasema 'aaah kila siku epa tuu, naye huyu abadilishe story'.
 
hii kichwa ya habari hovyo.......badilisha!
 
Back
Top Bottom