Ajali mbaya imetokea muda huu hapa Ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA.
Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.
Tunaendelea na uokoajii.
Taarifa zaidi na picha nitawapatia punde
ajari mbaya imetokea muda huu hapa ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. ajari imehusisha magari 6 likiwemo uda. mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha. tunaendelea na uokoajii. taarifa zaidi na picha nitawapatia punde
pole wahusika tuwekee na picha mkuu
so aache kuokoa majeruhi,awapge picha?
Ukipata hizo picha za ajali zitakusaidia nini?
Lori lime fail break likagonga uda na kusababisha magari mengine saba kupata ajali hakuna aliyekufa ila kuna watu wamevunjika miguu na viuno..hivyo ndo nilivyopata habari kutoka pale ubungo
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums