Ajali mbaya Kibada, Kigamboni: Watu 7 wafariki dunia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,621
8,411
20160428081703.jpg


Habari wakuu waJF,

Ajali imetokea Kibada Kigamboni sasa hivi, Picha iyo, Ajali imehusisha gari aina ya MAHINDRA-SCOPIO, ilikuwa ikitokea Mji Mwema inaelekea Kibada. Imevamia matofali yaliyo pembezoni mwa barabara mbele ya nyumba ya ghorofa. Inasemekana gari hiyo ilibeba watu wa familia moja na wamefariki watu 7 watoto 3 na watu wazima 4 katika ajali apa Kibada - Kigamboni ni wahindi.

20160428081656.jpg
20160428081658.jpg
20160428081643.jpg

Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.
 
kila jambo na ahadi yake....lkn mostly hawa madereva wa gari hizi mpya mpya wengi wao si waangalifu wakiwa barabarani hususani wakina mama, tembelea vituo vya polici utakuta nyiingi kama sio chache ni namba mpya sijui inakuwaje.
 
aiseee hii sasa si balaa hilo? watu wafamilia moja kufa pamoja, ndani ya siku moja,mmoja mmoja,kwenye gari moja, si mchezo! R.I.P wafiwa.
 
  1. Mhindi/mwarabu hana subira kwenye traffic. Akiwa na dereva nasikia atampa matusi mpaka huyo dereva atanue, aovertake au aruke juu ili mradi asikae kwenye line. Nimeishi kwa hawa wenzetu honi za gari ni kama stering zao. Gari yako kama ndogo au gharama ndogo ndo heshima chini. Nimegundua wabongo wameanza huu mchezo halafu kuweka tinted kwenye gari. Wahindi/wabangla wanaficha wasiombwe na wengine wanakunywa kwenye gari sababu mfano bangla pombe nilipoishi kule hairuhusiwi hivo mtu analewa kwenye gari hivyo wanafunga vioo. Kutanua ni ile hali ya kujiona siwezi fanywa kitu nina hela, mi mhindi hawajui mhindi kwa sisi weusi ni mtu wa mwisho ila hatuwaambii macho kwa macho.
 
Back
Top Bottom