Ajali mbaya Kibada, Kigamboni: Watu 7 wafariki dunia

Ajali mbaya Kibada, Kigamboni: Watu 7 wafariki dunia

  1. Mhindi/mwarabu hana subira kwenye traffic. Akiwa na dereva nasikia atampa matusi mpaka huyo dereva atanue, aovertake au aruke juu ili mradi asikae kwenye line. Nimeishi kwa hawa wenzetu honi za gari ni kama stering zao. Gari yako kama ndogo au gharama ndogo ndo heshima chini. Nimegundua wabongo wameanza huu mchezo halafu kuweka tinted kwenye gari. Wahindi/wabangla wanaficha wasiombwe na wengine wanakunywa kwenye gari sababu mfano bangla pombe nilipoishi kule hairuhusiwi hivo mtu analewa kwenye gari hivyo wanafunga vioo. Kutanua ni ile hali ya kujiona siwezi fanywa kitu nina hela, mi mhindi hawajui mhindi kwa sisi weusi ni mtu wa mwisho ila hatuwaambii macho kwa macho.
Hayo maelezo yoote naona kama vile hayahusianni na jambo lililotokea, Pole kwa wafiwa.
 
nasikia walimwagiwa maji na gari ingine kwenye kidimbwi yakazuia uoni wa kioo cha mbele, mungu awarehemu
 
Hizi gari niza kukodi pale QC mall huwa zinakuwepo sana pale....r.i.p
 
Sio watu saba ni sita na niwarabu na ni ndugu zetu tumeshazika leo mtoto mmoja bdo yuko spital na baba ake na wte wngne wamefariki inahuzunisha kwa kweli
Poleni sana,Inna lilah wa Inna Ilahii Raji'uun.
Waliofiwa wawe na subra,ni mtihani mzito.Subra muhimu sana.
 
Sio watu saba ni sita na niwarabu na ni ndugu zetu tumeshazika leo mtoto mmoja bdo yuko spital na baba ake na wte wngne wamefariki inahuzunisha kwa kweli
Poleni sana aisee, Mungu azirehemu roho za wapendwa wenu!!
 
Back
Top Bottom