Duh?!!,sasa walijisahau vipi hadi wasilione basi linakuja kuwapitia?.
hiyo Sumry ilikuwa inatoka wapi na inaenda wapi?
Imetokea usiku huu ajali mbaya maeneo ya Ikungi, Singida ikilihusisha basi la Sumry linalosafiri kati ya Kigoma-Dar.
Inasemekana mwendesha baiskeli alikuwa akivuka barabara lori likamgonga ghafla wanakijiji wamejaa kushangaa tukio na askari akipima ajali ndipo likatokea basi la Sumry na kugonga watu kumi na tatu pamoja na askari ni wa 14 mpaka sasa ndio idadi kamili ya waliopoteza maisha.
Mungu awalaze mahali pema Amina.
==========
ZAIDI:
==========
kazi ya mungu haina makosa
sisi tulio hai ndo kusema Mungu hatupendi?!Hata ukipata izo picha hawatasimama tena mungu amewapenda zaidu.