Ajali maeneo ya Sinza Africa sana usiku huu

Nimeingia mbio nikajua ni ajali kubwaaaa...

Basi na mimi ngoja niripoti ajali iliyotokea hapa mtaani kwetu jana jioni, mbeba mkokoteni kagonga genge la mangi na kukimbia...

Picha nitarusha baadaye...

so we wapenda kusikia ajali kubwa kubwa iliyochukua maisha ya watu, kwako ni burudaniii sio? :what: bila shaka utakuwa na roho ya kishetani...
 
Sasa wewee, picha zako zote zinaonyesha palipogongwa, hakuna inayoonyesha muonekano wa gari zima. Halafu dereva amekimbia na gari lake? Au alishuka akakimbia kwa miguu? Maana hatujui kama gari lake lilikuwa bado na uzima wa kutembea au lilishindwa kutembea? Be comprehensive

dereva aliyegonga alisepa muda huo huo, bodaboda walijaribu kufukuzia hawakumkamata inasemekana gari yake ilikuwa na ngao mbele ndo maana ikaweza kutembea.
 
Hao wote watakua walikua wanasaka nyoka hapo kona bar
 
so we wapenda kusikia ajali kubwa kubwa iliyochukua maisha ya watu, kwako ni burudaniii sio? :what: bila shaka utakuwa na roho ya kishetani...

What a conclusion?????

Tazama ulivyo na uwezo mdogo kumeng'enya unachoelezwa...

Hivi unadhani kila mtu akianza kuandika habari za ajali hapa si kutajaa nyuzi hadi za ajali za ng'ombe kwenye mazizi...

Gari ya Benz imegongwa na aliyeigonga kakimbia...so whaaat???

Hiyo Benz inatuhusu nini sisi??? Tuna maslahi nayo vipi???

Hapa ni kituo cha polisi hadi uanze kuripoti hadi viajali mshenzi hivi???

Halafu angalia conclusion unayokimbilia kutoa...
 
wambie mods waufute huu uzi ili ufurahi basi, it seems hiyo server inakuuma sana unailipia sh. ngapi kuisimamia?
 
Acha uendelee kuwepo hapa ili watu wajue ulivyo na kiherehere cha kuandika JF...
 
hahaha da kuna watu mnafurahisha sana, ngoja nikuache cuz kubishana na ww ni kuzidi kujitia ujinga...
 
Back
Top Bottom