Ajali maeneo ya mvomero wilayani

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Sina uhakika ila kuna jamaa ninae muamini sana kanambia maeneo ya makao makuu ya wilaya ya mvomero kuna ajali mbaya iliyohusisha malori mawili na noah moja.Habari mbaya ni kwamba inasemekana roho zote ndani ya noah zimepotea.Naomba isiwe kweli.
 
Back
Top Bottom