Ajali Maeneo ya Kibamba Leo

Ajali Maeneo ya Kibamba Leo

Kwani neno "wahanga" lina maana gani Mkuu..?

Mhanga ni mtu anayejitolea kufanya jambo ssa la hatari huku akijua matokea yake, ndipo tunapata neno 'kujitoa muhanga'.
Mtu anvaa mabomu kwenda kujilipua ili afe na watu wengine, huyo naye ni mhanga, umenisoma?
 
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th June 2012
Posts : 1,803
Rep Power : 685
Likes Received463
Likes Given368

icon1.png
Re: Ajali Maeneo ya Kibamba Leo

Dah!Hizi ajali.Polenisana wahanga​


  • Jamani hao ni waathirika, kuwaita wahanga ni dhihaka isiyovumilika, hawakujitakia.

Hebu nipe tofauti ya hayo maneno mawili maana naona kama vile umekariri
 
Mhanga ni mtu anayejitolea kufanya jambo ssa la hatari huku akijua matokea yake, ndipo tunapata neno 'kujitoa muhanga'.
Mtu anvaa mabomu kwenda kujilipua ili afe na watu wengine, huyo naye ni mhanga, umenisoma?

Kwa hiyo neno mhanga lina maana moja tu eti?
 
miundo mbinu ya maeneo hayo ndio chanzo kikuu cha ajali, kwanza ni shida sana kwa malori kupandisha kile kilima likiwa na mzigo mkubwa, pili kuna mteremko ukichangiwa na kona kali, tatu daraja dogo sana lile.

wangetakiwa kutafuta njia mbadala ya malori kwa ajili ya kuingia na kutoka daressalaam
 
Poleni sana majerui though mtoa taarifa ajaeleza km kuna waliokufa bt all in all poleni sn mungu awape ahueni.
 
Back
Top Bottom