Ajali Kimweri Avenue/Namanga 15/12 15:00

Ajali Kimweri Avenue/Namanga 15/12 15:00

jichola3

Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
25
Reaction score
4
Ajali zetu nyingi Dar es Salaam ni za kipuuzi.

attachment.php
 

Attachments

  • 1418646741618.jpg
    1418646741618.jpg
    86.4 KB · Views: 1,260
Shuka kimbia haraka ...toyota na bmw. Tena x5 alafu sasa iwe ya escrow hakika utafungwa milele na kapelo yako..
 
sasa ajali ipo wapi ?? au lako ndio x-5 unataka utuonyeshe ??
 
sasa ajali ipo wapi ?? au lako ndio x-5 unataka utuonyeshe ??
Angalia boneti ya gari damu ya mzee ilivyotuna kwa juu na kubonyea kidogo hapo juu ya tairi.

Tayari washapigana busu hapo
 
Duh hapo kama ni dereva wa iyo toyota hata Usain Bolt anikuti kwa mbio unaweza kuuza gari na bado ushindwe ku-repair iyo BMW.
 
Back
Top Bottom