Ajali Kibaha

Tuambie kwa nini iwe mabasi ya Abood tu au Mohamed Trans?
Kwanini usiwaze kuwa magari haya ni mabovu?Au aina ya matairi ni mabovu?Au madereva wa kampuni husika hawana sifa za kuendesha hayo magari?Tuishi kwa kuamini kuwa matatizo yetu yanatatulika na yana chanzo chake ambacho kinaweza kutatuliwa bila kuingiza imani za kishirikina.
 
Back
Top Bottom