Ajali inapotokea

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
When accidents happen in different counties this what people say

UK: "Am sorry maam,can i take you to the hospital?"

U.S.A: "Appologies Madam,let me take you to the hospital."

U.A.E(DUBAI):"Sorry habibty......are you okay? You need to go to the hospital."

TZ:"Kwenda wewe kwani huoni? Unaendesha gari kama barabara ni ya babako!!....haya nenda hospital fasta usije ukafa hapa.
 
Kabla ya hayo yote.Tz unasachiwa mifukoni,wallet,mkoba nk. Unanini kwanza
 
Huku kwetu Manzese tunatoa misaada ya kupunguza baadhi ya vitu vinavyomsumbua muathirika wa ajali, mfano saa,mkanda,simu,cheni,wallet/pochi,kikuku,viatu,cheni ya kiunoni... Tehetehetehetehetehe...

Kwa kweli ni wakarimu sana, nasikia hata Tandika ni wakarimu pia.
 
We kiazi nini!!!!Umekuja juzi town!!!
hahaha TZ ndo mpango mzima!
yani TZ ni noma nilishawahi kudondoka kwenye daladala mana joto lilizidi na foleni ..............unajua walichokuwa wanaongea abiria ni nini....................hawa masista du hawali usiku na akila anakula kidogo matokeo yake anakosa nguvu kumbe mwenzao naumwa....................yani walibishana mpaka wanapata idea ya kunipeleka hospital lisaa limepita.
 
boss wetu alishawahi kupata ajali tena badala ya kumsaidia wakamwibia hela, simu, wakachomoa radio wakasepa...........wengine ndo wakaja kumsaidia kumpeleka hospital na kwasababu walimchelewesha akafariki.
 
Pole sana!!Eti masister duu hawali!!!hiyo gari ilikua ya nyumbani kwetu Mbagala bila shaka!!
 
boss wetu alishawahi kupata ajali tena badala ya kumsaidia wakamwibia hela, simu, wakachomoa radio wakasepa...........wengine ndo wakaja kumsaidia kumpeleka hospital na kwasababu walimchelewesha akafariki.

so that y u r boss now, kweli kufa kufaana
 
yani TZ ni noma nilishawahi kudondoka kwenye daladala mana joto lilizidi na foleni ..............unajua walichokuwa wanaongea abiria ni nini....................hawa masista du hawali usiku na akila anakula kidogo matokeo yake anakosa nguvu kumbe mwenzao naumwa....................yani walibishana mpaka wanapata idea ya kunipeleka hospital lisaa limepita.
Pole sana my dia,ningekwepo ningekubeba fasta nikupeleke hospital i can take care of u
 
boss wetu alishawahi kupata ajali tena badala ya kumsaidia wakamwibia hela, simu, wakachomoa radio wakasepa...........wengine ndo wakaja kumsaidia kumpeleka hospital na kwasababu walimchelewesha akafariki.
bongo wanakupora kwanza wakichukua kila kitu wasamaria wema ndo watajitokeza
 
Back
Top Bottom