Ajali gari mpya walizopewa police na Rais

Ajali gari mpya walizopewa police na Rais

Iyo mipango hili watu waje wanunue kwenye mnada kama skrepa mchozo hiyo ipo sana pale kwa muhakiki Mali..
 
Hakuna namna, ila wasije wakawamaliza mapolisi wetu.coz hawa ccm hawaaminiki tena
 
Muhimbili hakuna CT scan, mashini ya mionzi etc CCM/ JK wananunua magari yote hayo. Watanzania jitafakari tarehe 25/10/2015

Kweli ndugu yangu, Muhimbili CT Scan kila mara mbovu lakini serikali inanunua magari 777 ya polisi. Serikali ingeweza kununua CT scan mashine hata nne na kuzisambaza mikoa ya Mbeya, Dodoma, Mwanza na Arusha ili wananchi wasipate taabu kwenda Muhimbili kufuata huduma hiyo. Viongozi wetu wanawaza kutetea madaraka kwa nguvu badala ya kuangalia matatizo ya wananchi.
 
Naomba yote yafe hayana faida kwa raia!
 
kwani haya magari yamegharimu kiasi gani? anayejua atujuze kwanza. hivi kweli magari hayo ni kipaumbele cha Taifa hili? Tafakari

piga Milioni 80,000,000 x777= 62,160,000,000, kama Bilioni 62 hivi ingawa nimekadria ila inaweza kuwa hata ni bilioni 100 si unajua bongo
 
Mungu ni mkubwa.

Kwa kuwa lengo la kuleta magari hayo ni kuminya haki ya kidemokrasia, basi naamini Mungu ataonyesha muujiza wake na magari yote 399 yaliyopokelewa leo yatalipuka kabla ya tarehe 25 mwezi huu......................
 
piga Milioni 80,000,000 x777= 62,160,000,000, kama Bilioni 62 hivi ingawa nimekadria ila inaweza kuwa hata ni bilioni 100 si unajua bongo

Mkuu hyo land cruiser moja ni milion 150 kwa current price.
 
Ya endelee kuadhibiwa tu huku kwetu watu wameanza wanaogopa hata kwenda kupiga kura mungu yu mwema.
 
Duh! Ukawa ni majanga sana. Yaani wanafurahia gari la polisi kupata ajali? Ni magari mangapi yanapata ajali kila siku? Au kwa vile hilo ni la polisi?
 
Tatizo kubwa ni kuwa polisi ndiyo wasiofuata sheria za barabarani, mara nyingi sana huzivunja kwa kisingizio cha haraka! Karibuni nilikuwa nchi moja huko kusini mwa Afrika gari za polisi zinaheshimu traffic lights hata kama hakuna magari mpaka zinaporuhusu. Angalia hapa kwetu...
 
piga Milioni 80,000,000 x777= 62,160,000,000, kama Bilioni 62 hivi ingawa nimekadria ila inaweza kuwa hata ni bilioni 100 si unajua bongo
Hapo penye bold umesoma shule gani Mkuu? Rudi tena darasani
 
Back
Top Bottom