yaan inatia hadi hasira mijitu imekalia kulalamika tu
aliyenunua chama je?hao hao wengine ndio wanatumia pesa na nguvu ili wabaki madarakani
Nilishawahi kusema hapa jf...HAKUNA WANANCHI WALALAMISHI DUNIANI KAMA WATZ!!!!!!! Halafu wengi wao wezi,wavivu tu kila lifanywalo na serikali baya! Hata wangenunua ambulances kuna wajuaki wangekwambia zimenunuliwa kunbeba majeruhi watakaong'ang'ania mita 200!!! Ujuaji mwingiiiiii.
aliyenunua chama je?