Ajali gari mpya walizopewa police na Rais

Ajali gari mpya walizopewa police na Rais

Wa nyamadyaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
1,178
Reaction score
529
Gari alizokabidhi raisi kwa polisi pale kilwa road zimeanza kupata ajali kabla ya kuanza matumizi yaliyokusudiwa uploadfromtaptalk1445445173503.jpguploadfromtaptalk1445445186993.jpguploadfromtaptalk1445445198135.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2015-10-21-21-41-02.png
    Screenshot_2015-10-21-21-41-02.png
    244.4 KB · Views: 2,805
Nafikiti IGP Mangu nafikiri hatapotoshwa na wingi wa magari
 
Duuuhh!! DEREVA Alikuwa Amelala Eeeee!!!! Maana Hiyo Ajali Ya Kizembe Tu!!
 
Zitalipuka zote kabla ya October 25
 
Badala ya pesa kutumika kuinua maisha ya wananchi,zinatumika kununua magari ya kupambana na wananchi

kwani haya magari yamegharimu kiasi gani? anayejua atujuze kwanza. hivi kweli magari hayo ni kipaumbele cha Taifa hili? Tafakari
 
Sasa kwa namna hii sii watatuua sana na ajali wakitukamata kwenye vituo vya kupiga kura,

Sababu hawa jamaa wakiendesha wanasahau kabisa kama magari yana break
 
Back
Top Bottom