Ajali daraja la Tanzanite

Uendeshaji wa zero distance ni janga la sasa barabarani , lolote likitokea hakuna nafasi ya kurekebisha
Bodaboda na bajaji zinachangia sana watu kutokeep distance. Ukiacha nafasi tu kundi la wahuni limejaa mbele yako. Ndio maana magari barabarani distance in-between ni as if yanavutana.
 
Rasta za nini au matuta makubwa darajani? Mzee hebu acheni ujinga barabarani watu wanatakiwa wafunguke wawahi wanakoenda
Waweke tuta hapo ndio kudhibiti akili za mbongo... Hapo ajali zinatokea Sana. Otherwise waweke speed limit kama daraja la Kigamboni.

Ukizidisha speed Faini

Kuna bodaboda alikufa wiki mbili zimepita alichotwa na gari liko speed niliona Kwa macho yangu. Akili za mtanzania akiwa barabarani bila kumdhibiti Kwa matuta au Faini za trafick hawez kujiongiza.
 
Tumepita na ngarangara speed 50,60
Hizo honii unavyopigiwa yaani wanakuambiaaa kanyaga mwendooo
[emoji1]

Ova
 
Waweke fine tu huo utaratibu wa matuta darajani haufai
 
HAYA MAMBO YA MISAFARA SASA YAMEKUWA TOOO MUCH DAR ES SALAAM!!!!! MAMLAKA INAYOHUSIKA IWEKE VIGEZO MAALUM YA MAMISAFARA YA AJABU AJABU ILI KUEPUSHA KADHIA KAMA HII.
 
Bodaboda na bajaji zinachangia sana watu kutokeep distance. Ukiacha nafasi tu kundi la wahuni limejaa mbele yako. Ndio maana magari barabarani distance in-between ni as if yanavutana.
[emoji28][emoji38]eti kundi la wahuni
 
Baada ya daraja kuna rasta na tuta,kabla ya mataa kuna rasta na tuta ila ni Yale matuta hata na 100kph unaruka tu
Eeh bana eeh tuta bosheni zile. Za kiboss kama za Bagamoyo road ile mitaa ya Makongo. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…