kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,013
- 11,953
Shimo za kwenye Rami hazina cha ubora wa tairi wala nini, zimekaa kama panga vileHapa ukiangalia tairi Bado jipya kabisa. Wasema dreva mara mwendo kasi mara nini tatizo linabaki pale. Wakulaumiwa ni serikali na tahasisi zake sijuhi tbs. Haya matairi hayana ubora wa kutosha hasa kwa mabasi ya abilia. Pili mwendo kasi wamweka vizibiti mwendo speed 80 Bado ni mwendo mdogo sana kwa mabasi yansyotoka mikoani mimi napendekeza mabasi yote ya kuanzia abiria 45 watumie matairi ya viwango vya kimataifa kwendana na jiografia ya nchi yetu.