Hivi buda wewe ni mtu wa taifa gani?Itakua ni kiberenge.Reli mbovu treni haiwezi kupita
Poleni wote mliofikwa na Adha hiyo.
Kwenye hayo mapishano ya Reli, hakuna watu wanaocontrol magari(kusimamisha magari) pindi treni inapopita?
Au huo mtindo wa kufunga barabara kwa muda ili Treni ipite upo mijini tu?
Hahahaha!! Wajuvi wa mambo watakwabia hicho kichwa cha gari la moshi ni TISS ndo maana kimeendelea na safariHicho kichwa cha treni kina kiburi sana, yaani kimeendelea na safari hata kusimama.
Makutano ya njia za gar na tren huwa pameandikwa stop.Poleni wote mliofikwa na Adha hiyo.
Kwenye hayo mapishano ya Reli, hakuna watu wanaocontrol magari(kusimamisha magari) pindi treni inapopita?
Au huo mtindo wa kufunga barabara kwa muda ili Treni ipite upo mijini tu?
Dereva wa bus alikuwa anafikiri kama wewe ndio maana akapitiwa.Itakua ni kiberenge.Reli mbovu treni haiwezi kupita
Huko kuna tahadhari ya mchoro (alama)tu, sasa usipopunguza mwendo na kuchukua tahadhari, litakalotokea ni juu yako.Poleni wote mliofikwa na Adha hiyo.
Kwenye hayo mapishano ya Reli, hakuna watu wanaocontrol magari(kusimamisha magari) pindi treni inapopita?
Au huo mtindo wa kufunga barabara kwa muda ili Treni ipite upo mijini tu?
Angekuwa kasi tungeombolezaMwendokasi ndio chanzo cha ajali
Jr
Umenena ukwel mtupu mkuu, inawezekana m1 wa majeruh ndo kaaanzisha uzi..Kichwa cha treni na kiberenge ni vitu viwili tofauti... Thanks kwa taarifa poleni abiria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu yeyote yenye kivuko cha reli unapaswa kupita kwa tahadhari .Nchi nyingine unasimama kabisa kuhakikisha usalama upo kabla ya kuvuka.Poleni wote mliofikwa na Adha hiyo.
Kwenye hayo mapishano ya Reli, hakuna watu wanaocontrol magari(kusimamisha magari) pindi treni inapopita?
Au huo mtindo wa kufunga barabara kwa muda ili Treni ipite upo mijini tu?