AJABU: Chenge aitetea DOWANS ilipwe!

duh, sitaki kuamini kama bado anataka kutuangamiza. kaka chenge we are real sorry...tuonee huruma watanzania wenzako we si unanyumba nyingi na pesa ya kutosha? nakushauri ukaishi kwenye nyumba yako nyingi. Don't tell me tutawalipa Dowans vijisenti ni pesa nyingi mzee tuangalie tutakuwa wapi kama sasa ivi hali bado tata. kuwa na huruma!

moblaze
 
Hii ni uthibitisho mwingine kuwa viongozi wetu wengi hawana uzalendo na nchi yetu au pengine hatuna viongozi kabisa. wako kama mamluki (mercenaries) vile, wanajijali wao tu na si wananchi wenzao au majirani na cha ajabu these are frequent church or mosque goers!. in the words of Achebe majority of our leaders are nothing "but snobbish intellectuals who will not hasitate to sell their mothers for a mess of pottage" . Hata kama sheria za mikataba zinasemaje lakini ni kitu cha kukosa uzalendo kutetea foreigners at the expense ya nchi yetu! hivi China au Urusi hili linawezekana? huu ni umamluki wa daraja la juu kabisa. Kama Vijisenti anajua sana sheria kwa nini asiwasaidie wastaafu wa Jumuia ya Afrika Mashariki walipwe madai yao ya muda mrefu?
 
Acheni unafiki na chuki binafsi. Kama watu wametumia huduma lazima walipe. Chenge ni lawyer na anaplay part yake kama lawyer. Watanzania sisi tu wanafiki sana. Ni sisi ndiyo tumeiweka CCM madarakani halafu leo tunapiga kelele! Hiyo ndiyo "motto" ya CCM na ndiyo maana hata mtu waliyemweka awe mpiga kelele wa ufisadi is not credible himself na ameshaanza kuonekana mropokaji tu.
Lazima ifikie wakati tuyakubali makosa yetu na tusonge mbele. Hatuwezi kupiga mark time palepale na kuacha kufuatilia vitu vya msingi vinavyotokea katika maisha yetu. Kwa sasa ingetakiwa watu wapige kelele sana kuwa wanataka vitu gani kubadilika katika bajeti ijayo. Waongeze wigo wa makusanyo kwa kuondoa misamaha ya kodi kwenye migodi. Diesel: Excise duty(TZS/L)=314, Fuel Levy (TZS/L)=200.
Kama North Mara wanatumia lita 4000000 kwa mwezi, kodi yao ni TZS2.056billion. Kwa mwaka ni TZS24.672billion. Huu ni mgodi mmoja tu. Ukiweka Buzwagi, Bulyanhulu, Geita, Resolute, pamoja na migodi mingi ya Watanzania wengine ambao "wanakunwya" mafuta mengi "mengine yaweza kuwa hewa" utakuta nchi inapoteza mabilioni mengi sana kwa mwaka. Assume mines zote zinatumia lita 20,000,000 kwa mwezi, kodi kwa mwaka ni Takriban TZS123 billion.
Hawa jamaa ndiyo wanaharibu barabara zetu lakini wao ndiyo hawalipi kodi!
Tuache kumlaumu sijui Chenge, Rostam, Lowasa, tujilaumu sisi wenyewe, na tuyakubali makosa yetu na tusonge mbele tukiyarekebisha katika siku za usoni. TUACHE UNAFIKI. BAADHI YA WANASIASA WANATUPA WRONG INFORMATION KWA MANUFAA YAO WENYEWE! HASA WALE AMBAO UNAWACHUKULIA KUWA WAPO CREDIBLE, WALE WANAOONEKANA KWA SASA NI AKINA MR. CLEAN! HAKUNA MSAFI HATA MMOJA
 
Reactions: EMT
huyu ndugu yangu ananisikitisha sana. Namjua, wa kwetu huyu. Ni msukuma msomi na mwenye akili za hali ya juu. 1st degree na masters ya sheria kutoka havard university! Ulikua mpango wa mwl nyerere wa kuwapa elimu stahili vijana wenye vipaji kama chenge waje kulitumikia taifa kwa ufanisi. Sijui amepatwa na nini maskini, amesahau kodi za nchi yake ndizo zimemfanya awe chenge wa leo! Tofauti na hapo angekua mchunga ng'ombe hohe hahe kama walivyo ndugu zake weng wasukuma
 

kajiorodheshe mgao ukitoka umo,hujui dowans n ngo yao kina chanyege,raaziza,lodasa aka 3t na wengineo kinara wao jm kikwetu.mwakiwembe kaambulia uwazir na mwenzie sista,heko riz-hewan kunena kuishi kimjin mjin hata jm kikwetu hajui aliyempa dowans mkataba na wahusika!je huo ndo umjn mjn?pole kimeo wa fikra,elimu,ukuwad kwa jk,angal salmia kikwetu asikute mke mwenza
 

Unawaza kunyongana wakati hata kumfunga tumeshindwa.
 

Naweza kukubaliana na wewe kwamba huenda "... kaiona sheria kwa jicho la wazi ..." jibu ambalo linaturudisha kwenye kiini cha tatizo. Mifumo iliyopo nchini imewekwa kifisadi kwa usimamizi na kwa maslahi ya mafisadi. Ndio maana Chenge leo akiwa miongoni mwa wale wale waliotunga sheria waliweka mianya ya wao "kutokea" pindi mambo yanapoharibika kama ilivyo leo. Hivyo haishangazi kwamba leo kawa wa kwanza "kuiona sheria kwa jicho la wazi".

Kwa wenye akili zao kinachotakiwa kupiganiwa leo ni kuung'oa mfumo mzima wa kifisadi badala ya kuishia kwenye tantarira za kujivua magamba - wizi mtupu.
Hebu soma makala ya Mwanakijiji kwenye Tanzania Daima la leo uone ni kwa nini Tanzanzani ni masikini wa kutupwa - tatizo kuu ni UFISADI.
 
Reactions: EMT
Kama ipi? Mbona juzi tumeona Kikwete akishinda kesi ya Mabilioni ya Rada, madudu yaliofanywa na Mkapa?

Lakini ya kwake ya richmond/dowans kashindwa,duu! inawezekana ulaji wa kina mkapa ulikuwa wa kisomi zaidi na sio wa jk mpaka tumeshikwa pabaya.
 
We mdada au mkaka acha kupinga kila kitu ambacho kina kwenda kinyume na maslahi ya mafisadi, ndio mmetumwa na huyo Nape wenu kuja kutia shombo jamvini ili wenye busara zao wasichangie. Kwa hilo sikilizieni maumivu tu.
Halafu hizo fedha zinatoka wapi, Serikali haina chochote sasa hivi inakopa mpaka kwenye mabenki ya biashara ili kulipa mishahara hlf yanatokea machizi kama wewe samahani lkn unamsupport huyo Chenge. Lakini kumbuka "hakuna marefu yasiyo na mwisho." Tutaona mwisho wenu.
 

Kiongozi umeongea point sana, haina maana kuwasamehe hawa jamaa wa migodi kodi kwenye mafuta, yaani Madini wanachimba kwa manufaa ya nchi zao na familia zao na vizazi vyao halafu sisi tunawasamehe Kodi ambayo ingechangia kuboresha maisha ya wananchi wetu,
Hivi yupi bora! Mwananchi au mwekezaji? sasa kwa nini unaweka kodi kwenye mafuta anayotumia mwananchi halafu unamsamehe mwizi wa raslimali za nchi yetu? jamani mtanzania wa leo analipa kodi kibao na nzito na hii ni kwa ubinafsi wa viongozi wa ccm.

ifikie wakati watanzania tuache unafiki tuuone ukweli huu usani wa kuchezeana na huku maisha yanakwenda, fanya mabadiliko sasa na usingoje kesho maana wewe leo una let’s say 30 or 50 or 60 years miaka 5 ijayo utakuwa umesogelea kaburi na huu usani utaendelea ni lini utaishi katika nchi nzuri uliyopewa na Mungu wako! hawa jamaa wachache wanaishi maisha na wanataengeneza maisha ya jamii zao, watoto wao wajukuu na hata vitukuu, je sisi wabongo wa kawaida hatuhitaji kuwacha watoto wetu wakiwa na maisha ya uhakika? angali watoto wote wa Vigogo wanasomea hapa kwetu? unafikiri ni kwa nini wapo USA, UK na kwingineko ni kwa sababu ya wizi na dhuluma ya baba zao, sisemi kwamba ni wote! wapo waliotafuta wao wenyewe lakini wengi wao ni ufisadi wa wazazi wao ndio umewafikisha hapo na ndio huwa wanawacheka wananchi wasumbukao kitaa.

Ndugu zangu tufumbuke macho, kuna Mchungaji mmoja aliwahi kusema saa ya ukombozi ni sasa na walio wengi walimponda lakini kadri siku zinavyozidi ushuhuda wake unazidi kujizihirisha.

Acha unafiki mtanzania na sasa uchukue hatua. Asilimia 60 ya wabunge wa ccm hawapaswi kurudi bungeni 2015 hamasisha watu wawabwage na ndipo tutapata ukombozi, jamani kwa kila mtu anayependa mabadiliko ya kweli hamasisha katika wilaya yako unakotoka, ili next Bunge Chadema iwe na wabunge walau kuanzia 55% na ndipo utaona nchi itakavyobadilika.
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>
nano...kuna haja gani yakufanya hayo yote ikiwa hata mapato yakiongozeka yataishia mifuko mwa mafisadi...priority iwe kuwashungulikia kwanza hao panya waharibifu.
 
vijisenti sasa ameamua kuanika makucha yake ya kifisadi na kutojali wananchi wake. Sijui wanamchagua kwa vigezo gani kuwa mbunge huko jimboni kwake, anazo sifa kamilifu za kutokua binadamu wa kawaida.

kwan hujui wachakachuja wa kura ndo wao?hebu fikiri mtu anamihela lukuki lakn anang'ang'ania uongoz! Nahis bado hawajamaliza ukwapuz hawa watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…