Aishi miaka 18 porini!!

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Imetokea huko combadia ambapo mtoto mmoja alitoweka nyumbani kwao akiwa na miaka minane!!Wakati anatoweka alikuwa na dada yake kwa bahati nzuri yeye alionekana na mzee mmoja akiiba chakula chini ya mti shambani.Baada ya kukamatwa alitambuliwa na wazazi wake lakini chaajabu hakupenda kuvaa nguo wala hakufurahia kuishi na binadam wenzake na alikuwa na tabia kama za nyani!!Alijaribu mara kadhaa kutoroka kurudi polini bila mafanikio!lakini hatimaye mapema mwezi huu ametoweka na inasemekana amerudi porini kuendeleza maisha aliyozoea!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom